Habari

Kufanyika Majlis ya maombolezo ya Shahada ya Kiongozi wa Waumini Ali (a.s) ikihudhuriwa na Mashia wa Nchi za Afrika Mashariki

Majlis ya shahada ya mtukufu wa cheo na daraja Imam Ali Ibin Abi Talib (a.s) ilifanyika majlis hiyo ikihudhuriwa na wapenzi wa Ahlul-Bayti kutoka nchi tofauti za Afrika Mashariki.
Majlis hii ilifanyika katika eneo la wazi kwa kuzingatia kanuni za kiafya na kujikinga na ugonjwa wa Corona.
Katika Majlis hii ambayo ilisimamiwa na Bonyad Akhtar Taban mtoa Khutba alikuwa ni Sheikh Othman Suya mmoja kati ya wasomi wa Afrika Mashariki.
Majlis hii ilihudhuriwa na Maulamaa wengi wa Afrika Mashariki na baada ya kumalizika Majlis hii wageni wote walikaribishwa kwenye Futari ilioandaliwa na Bonyad Akhtar Taban.

Related Articles

Leave a Reply

Check Also
Close
Back to top button
×