Habari

Mtumikie mama yako

Hadithi ya Hazrat Fatima (SA) (6)

الْزَمْ رِجْلَها، فَإنَّ الْجَنَّةَ تَحْتَ اقْدامِها، و الْزَمْ رِجْلَها فَثَمَّ الْجَنََّةَ

Kuwa katika huduma ya mama yako, kwa sababu Pepo iko katika nyayo za mama (zetu), na kuwa katika huduma ya mama yako, kwani matokeo yake ni kupata baraka za Peponi.

Kanz al-Ummal: H:45443

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button
×