Habari

Kutabasamu na kuonyesha furaha mbele ya Muumini

Hadithi ya Hazrat Fatima (SA) (7)

اَلْبُشْرى فى وَجْهِ الْمُؤْمِنِ یُوجِبُ لِصاحِبهِ الْجَنَّةَ وَ بُشْرى فى وَجْهِ الْمُعانِدِ یَقى صاحِبَهُ عَذابَ النّارِ

Kutabasamu na kuonyesha furaha mbele ya Muumini kunapelekea mtu kuingia Peponi, na matokeo ya kutabasamu mbele ya mpinzani na adui yako (kwa ajili ya kulainisha moyo wake na kupunguza shari zake kwako wewe binafsi au kwa ujumla) itakuwa ni sababu ya wewe kupata salama na amani na kuwa mbali na adhabu za Kiyama.

(Mustadrak al-Wasail: Juz. 12, uk. 262, Biharul An’war: Juz. 72, uk. 401, H. 43).

Related Articles

Leave a Reply

Check Also
Close
Back to top button
×