Mjukuu wa Marhum Ayatu-Allah Sayyid Dhafar Al-Hassan Rizvi atembelea Buniyad Akhtar taban

Sayyid Zuhair Rizvi ni mmoja wa wafanyakazi wa Televisheni ya Sahar katika kitengo cha Lugha ya Kiurdu katika kikao hiki alifahamu na kutambua Shughuli za Buniyad Akhtar taban na katika muendelezo wa kikao hiki alionesha utayari wake wa kushirikiana na Buniyad Akhtar taban.
Sayyid Rizvi mjukuu wa Marhum Ayatu-Allah Sayyid Dhafar Al-Hassan Rizvi kwenye tamati ya kikao hiki alipongeza juhudi za Marhum Allamah Rizvi kwa kumsomea Suratul-Fatiha.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button
×