BONYAD AKHTAR TABANSEYED KAZIM RIZVI

Taarifa za kifo cha kusikitisha cha Bwana Ammar Rashid Mowazo

Assalam Alaikum
Imesikitika sana kupokea Habari za Kifo cha ndugu yetu Ammar Rashid Mwazoa Mwanafunzi wa Kidato cha 6 (Form Six) katika Chuo cha Waliyul – Asr Kibaha; kilichotokea Jijini Dar-es-Salam Tanzania – baada ya kupotea kwa muda wa siku 6 baada ya kufanikisha harakati yake ya kumukoa mwenzake aliyekuwa akizama kwenye maji yaliyotokana na athari ya mvua kubwa zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini Tanzania.

Syed Kazim Rizvi Muasisi na Maneja wa ‘Bonyad Akhtar Taban’ anatoa pole kwa Baba wa Marehemu Sheikh Ammar Rashid na familia nzima ya Mzee Mwazoa kutoka na msiba huu mkubwa kwa kipenzi chao.

Allah awape subra njema katika wakati huu na amfufue marehemu pamoja na Kizazi Kitukufu cha Mtume Muhammad (s) na Aali zake Muhammad.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button
×