BONYAD AKHTAR TABAN

Maadhimisho ya miaka minane ya kuaga dunia marehemu Sayyid Murtaza Rizvi

Katika Mnasaba huu adhimu wa kuadhimisha miaka minane ya Kifo cha Marehemu Sayyid Murtaza Rizvi, mtoto wa Allamah Rais Al-Mubalighina, Marehemu Sayyid Saeed Akhtar Rizvi (RA) mnamo tarehe Mosi Mwezi May, tunatoa pole na salam zetu za rambirambi kwa wafuasi wote wa Madrasat Ahlul-Bayt (AS), Marafiki na jamaa, hususan kwa familia na wapendwa wote wa Marehemu.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button
×