Habari za Bonyad

Hujjatul-Islam wal-muslimin Qomy atembelea Buniyad Akhtar taban

Katika kikao hiki Hujjatul-Islam wal-muslimin Qomy ambae ni mmoja wa walimu wa Jamiatul-Mustafa Ala’lamiyah alielezewa kuhusu shughuli za Buniyad Akhtar taban.
Katika muendelezo wa kikao hiki Hujjatul-Islam wal-muslimin Swadiq Ridhwa Qomy alipongeza na kushukuru shughuli za Buniyad Akhtar taban na kuonesha kuwa yuko tayari kushirikiana na Buniyad Akhtar taban.
Kikao hiki kilimalizika kwa kumsomea Suratul-Fatiha Marhum Allamah Sayyid Saed Akhtar Rizvi.

Leave a Reply

Back to top button
×