BONYAD AKHTAR TABAN

Majlisi ya shahada ya bibi Fatima Masumah amani iwe juu yake na kumbukumbu ya Allamah seyyid Saeed Akhtar Rizvi

Katika siku ya shahada ya Binti wa Imam Mussa bin Jaffar ilisadifiana na siku ya kifo cha marhemu Allamah Rizvi.
Kwenye majlis ambayo ilifanywa na umoja wa wanafunzi wa Afrika mashariki katika mji wa Qom ambayo walikumbuka na kutaja masaibu ya watu wa nyumba ya Mtume (a.s) na kuwatukuza maulamaa na Makhadim wa Ahlu-lbayt (a.s)
Katika Kikao hiki Mjukuu wa Marhemu Allamah (r.a) Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Kadhim pia alihudhuria.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button
×