BONYAD AKHTAR TABANELIMU YA KIISLAMU

SALAMA ZA RAMBIRAMBI KWA TUKIO CHUNGU LA KIFO CHA AYATOLLAH IBRAHIM RAISI NA WENZAKE

Tunatoa salamu za rambirambi na pole kwa Rahbar Muadhamu, Marajii wetu, raia wa Iran na Waislamu wote kwa ujumla, kutokana na tukio chungu la ajali ya Helicopter iliyopelekea kuaga dunia kwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Ayatollah Sayyid Ibrahim Raisi na wenzake (Allah Awarehemu).

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button
×