Habari za Bonyad

Khutba ya Hujjatul-Islam wal-Muslimiin Sayyid Kadhim Rizvi katika Kongamano la Kimataifa la Hazrat Abu Talib (r.a)

Kongamano la Kimataifa la Hazrat Abu Talib (ra) lilifanyika katika mji mtakatifu wa Qom kwenye kumbukumbu ya kifo cha mtu huyu mashuhuri wa historia, kwa unuwani ya “Mkutano wa kimataifa wa Abu Talib, msaidizi wa Mtume (s.w.w)”.
Kiongozi wa Taasisi ya Akhtar Taban, Hujjatul-Islam wa muslimiin Syed Kazim Rizvi, kwenye Kongamano hili lililohudhuriwa na wahadhiri mbalimbali kutoka katika nchi za Kiislamu.
Sherehe hii ilirushwa moja kwa moja kwenye mitandao ya kijamii kupitia Majma’u Jahani Ahlul-Bayt (as) iliofanyika  ndani ya ukumbi wa mikutano wa Chuo kikuu cha Imam Khomein (r.a) ambacho kipo chini ya chou kikuu cha kimataifa cha Al-Mustafa katika mji mtakatifu wa Qom.
Wakati wa hafla hii, Wahadhiri na Wahakiki wa Kiislamu kutoka nchi tofauti waliwasilisha matokeo ya utafiti wao juu ya Hazrat Abu Talib (ra).
Hujjatul-Islam wal-Muslimiin, mjukuu wa marhum Allamah Sayyid Saeed Akhtar Rizvi alitoa dalili za kuthibitisha Imani ya Hazrat Abu Talib (ra) kupitia mtizamo wa Qur’an na Historia.

Leave a Reply

Back to top button
×