Habari za Bonyad

Kikao cha Kiongozi wa Buniyad Akhtar Taban na Mudiri wa Markaze Fiqihi Aimah At’haar (a.s) kitengo cha Takhasusi ya Kalam

Kwenye kikao hiki ambacho kilifanyika katika ofisi ya Mudiri wa Markaze Fiqihi Aimah At’haar (a.s) katika kitengo cha Takhasusi ya Kalam Hujjatul-Islam wal-muslimin Dk. Sheikh Hussein Habibi Tabar, alielezewa kuhusu Shughuli za Buniyad Akhtar Taban.
Katika muendelezo wa kikao hiki Hujjatul-Islam wal-muslimin Sayyid Kadhim Rizvi alimuelezea kuhusu shughuli ambazo zilimvutia za Marhum Allamah Rizvi (r.a) alizozifanya katika nchi za Afrika Mashariki.
Dk. Habibi Tabar alipongeza shughuli za Buniyad Akhtar Taban na mwishoe kikao hiki kilimalizika kwa kumswalia Mtume na kusoma Suratul-Fatiha kwa ajili ya roho ya Marhum Allamah (r.a).

Leave a Reply

Back to top button
×