Habari za Bonyad

Kukutana na hujatu al-islam waal-muslimin sheykh Jaffer Tabrizi

hujatu al-islam waal-muslimin seyeid kadhim Rizvi alikutana na hujatu al-islam waal- muslimin sheykh jaffer Tabrizi mtoto wa ayatallh sheykh Jawad Tabrizi.
katika kikao hicho sheykh Jaffer Tabrizi alizungumzia  harakati za Alaama Rizvi na kusema kuwamba: Alaama ni  mfano wa mubalghina wote.                                                Na vile vile  alimuonyesha Sayeid Rizvi baadhi ya kazi zake mbali mbali.

Leave a Reply

Back to top button
×