Habari

Kikao cha Futari kikihudhuriwa na mmoja wa Viongozi wa Jamia’tul-Mustwafa katika ofisi ya Bonyad Akhtar Taban

Katika kikao cha Futari kilichoandaliwa na Bonyad Akhtar Taban mgeni rasimi akiwa ni Hujatul-Islam wal Muslimin Rizvi ambae ni Raisi wa Bonyad Akhtar Taban, Wageni kutoka Jamia’tul-Mustwafa walihudhuria Futari pamoja na kutembelea Ofisi za Bonyad Akhtar Taban.
Katika muendelezo wa kikao hiki Mheshimiwa Radmard kiongozi wa Idara ya Wafrika na Waarabu wa Jamia’tul-Mustwafa alipongeza shughuli za bonyad Akhtar Taban na akaashiria kwamba kufanya kazi za Kitamaduni na Kitabligh ni kitu kinacho hitajika siku zote, na akaoenesha utayari wake kusaidia juhudi za Bonyad Akhtar Taban na Hujatul-Islam wal Muslimin Rizvi Raisi wa Bonyad Akhtar Taban katika kueneza Elimu safi ya Uislam wa Shia ili aweze kuandaa mazingira ya kudhihiri kwa Imam Mahd (aj).

Related Articles

Leave a Reply

Check Also
Close
Back to top button
×