Habari

Hujjatul-Islam wal-muslimin Sayyid A’swim Baqiry atembelea Buniyad Akhtar taban

Hujjatul-Islam wal-muslimin Sayyid A’swim Baqiry ni Mtangazaji wa Vyombo vya Habari vya kimataifa, katika kikao hiki alielezewa kuhusu Shughuli za Marhum allamah Sayyid Saed Akhtar Rizvi (r.a) na Buniyad Akhtar taban.
Katika muendelezo wa kikao hiki Hujjatul-Islam wal-muslimin Baqiry alionesha utayari wake wa kushirikiana na Buniyad Akhtar taban.
Kikao hiki kilifikia tamati kwa kumsomea Suratul-Fatiha Marhum Allamah Sayyid Saed Akhtar Rizvi (r.a).

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button
× Whatsapp Support