BONYAD AKHTAR TABAN

Shukran kwa taasisi na washirika wa vyombo vya habari

Usimamizi wa  bonyad Akhtar taban (Allamah Rizvi Foundation) katika mkutano mmoja wa kirafiki kutoka kwa taasisi na watu  wote ambao walishiriki pamoja na  bonyad Akhtar taban (Allamah Rizvi Foundation)  hujatul-islam wal-muslimin syed kazim Rizvi aliwashukuru  viongozi na ndugu wanachama wa mitandao : Islah midia India , Zainab midia  India ,Y TV Islam India ,maghsad husseini India,Mahdi tv Kenya, shia tv Swahili Tanzania na …. Na alizungumza mbele ya waliohudhuria kuhusu kufufua,kuhuisha na kukumbuka kumbukumbu za  marhum  Alaama Rizvi  pamoja  na kufufua  athari zake kwa kizazi cha sasa  .                                                                                                              mkutano huu wa kirafiki ulianza na usomaji wa aya za  Qurani na mashairi ya mazazi ya Imam ridha  na bada ya shukrani ya msimamizi  kwa wa wapendwa pamoja na kupewa zawadi wapendwa  mkutano uliisha kwa kupata tabaruk waliohudhuria

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button
×