BONYAD AKHTAR TABAN

Kikao cha kumrehemu allamah Rizvi katika mji wa Isfahan

Wanafunzi wa sehemu ya Bihar wa  madrassa  ya kidini ya hakimie ya Isfahan  kwa kushirikiana na bonyad Akhtar taban katika kukumbuka wa kifo cha allamah Rizvi waliweka kikao cha kumbukumbu ya Allamah kwa utukufu wake na shakhsia yake ya kimataifa kikao hiki kilihudhuriwa na wanafunzi wa kiafrica na na nchi zinginezo.
Kikao hicho kilianza  kwa usomaji wa Qurani na bada yake hujatu al-islam wal-muslimin shirazi moja wa viongozi wa madrassa ya hakimie kwa kumtambulisha allamah hujatu al-islam waal-muslimin syed Murad Ridha razavi alikhutubia kikao hicho. Katika kikao hicho hujatu al-islam waal-muslimin syed Rizvi msimamizi wa bonyad Akhtar taban vile vile alihudhuria.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button
×