Habari

Kufanyika Kozi ya pili ya Kumlea Mubaligh kwa Anuwani ya “Raisul-Mubalighina” Makhususi kwa Wanafunzi wa Afrika Mashariki

Bonyad Akhtar Taban ilioko katika Mji mtukufu wa Qom imefanya Kozi ya pili ya kumlea Mubaligh kwa lengo la kuwalea Mubalighina wazawa Makhususi kwa wanafunzi wa Afrika Mashariki.
Wanafunzi wanaoshiriki katika kozi hii ni kutoka katika nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Congo, na kutokana na kuenea kwa Ugonjwa wa Corona Kozi hii inaendelea kufanyika kwakuzingatia kanuni za Kiafya katika Ofisi ya Bonyad Akhtar Taban. katika kozi hii watakuepo Walimu mahiri wa Hawza na pia itatumika program (software) ya Taasisi ya An-Nur, kozi hii imekuwa ni yakipekee na yenye kupokelewa vizuri na wanafunzi wahudhuriaji.

Related Articles

Leave a Reply

Check Also
Close
Back to top button
×