Habari

Adhana ya Hadhrat Bilal

Mtindo wa Maisha ya Hazrat Fatima Zahra sa

Bilal hajaitisha adhana kitambo, ombi la Fatima linatosha kwa Bilal kuanza kusoma adhana. Sauti ya Bilal “Ashhad an Muhammadan Rasulullah” iliposikika, binti ya Mtume (s.a.w.w) ananguka chini na kupoteza fahamu.

Ni kana kwamba anakumbuka siku angavu za maisha ya Mtume (s.a.w.w) na moyo wake unapatwa na maumivu kutokana na giza lililowafunika Waislamu. Habari za kupoteza kwake fahamu zinamfikia Bilal na anaamua kukatisha adhana.

Bihar al-Anwar, juzuu ya 43, uk.157.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button
×