Habari

Kukutana Kiongozi wa Bonyad Akhtar Taban na Ayatullah Syed Muntadhir Mahdi Rizvi (M.Mungu amhifadhi)

Ayatullah Syed Muntadhir Mahdi Rizvi (M.Mungu amhifadhi) alitembelea na kushiriki katika kikao kilichofanyika katika Ofisi ya Bonyad Akhatar Taban, na pia alikutana na Mjukuu wa Allamah Rizvi (r.a) Hujjatul-Islam wal muslimin Syed Kazim Rizvi.
Katika kikao hiki mbacho kilifanyika katika Ofisi ya Bonyad Akhtar Taban Ayatullah Syed Muntadhir Mahdi Rizvi (M.Mungu amhifadhi) alifahamishwa na kuelezewa Shughuli za Bonyad Akhtar Taban.
Ayatullah Syed Muntadhir Mahdi Rizvi (M.Mungu amhifadhi) ni mmoja kati ya Maulamaa wa India ambae anajishughulisha na kufundisha Masomo ya juu ya Kihawza katika Mji mtukufu wa Qom vile vile ni Mubaligh wa Kimataifa ambae amesafiri katika nchi mbali mbali.
Ayatullah Syed Muntadhir Mahdi Rizvi (M.Mungu amhifadhi) amesema katika safari yake ya Marekani alikutana na kuonana kwa mara ya kwanza na Allamah Rizvi.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button
×