Habari

Kulia usiku na mchana

Mtindo wa Maisha ya Hazrat Fatima Zahra sa (4)

Watu wanasema: “Ewe Ali! Kilio cha Fatima mchana na usiku kimetuondolea faraja. Mwambie alie usiku au mchana!”.

Kwa hakika walikuwa ni watu wa ajabu sana!, Maana walijua kwamba Fatima (sa) aliteseka sana, na kwamba kilio chake si kwa sababu ya kufiwa na baba yake tu, na kwamba kilio chake kinaanguka kama nyundo kwenye dhamiri dhaifu za watu.

 Biharul-An’war:Juz.43.Uk:155.

 

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button
×