BONYAD AKHTAR TABAN

Ujio wa Hujjatul-Islam wal-Muslimin mheshemiwa Abedi kutoka nchi ya Guyan

Hujatau al-islam waal-muslimin Abedi ni moja wa mubalighin na mtu  maarufu kutoka nchi ya Guyana iliopo America ya kusini .na vile vile ni wakili wa jamiatu al-mustafa  katika bara hilo.
Hujatul al-islam wa al-musimin Abedi alitembelea ofisi ya bonyad akhtar taban nakukutana na hujatu al-islam waal-muslimin Rizvi.
Katika  mkutano huo bwana Abedi ulizungumzia  umuhimu wa Tablighi za kimataefa na athari zake Allamah Rizvi na alisema:   kwa wakati huu mubalighin wote ambao wapo wanafanya Tablighi wana deni la Allamah Rizvi.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button
×