Habarinyumba ya sanaa ya picha

Kuuawa shahidi kwa Imam Muhammad Taqi al-Jawad bin Ali al-Reza (a.s.)

Tunatoa salam zetu za pole na faraja kwa Mashia wote – Wafuasi wa Ahlul-Bayt (as) popote pale walipo Ulimwenguni, kutokana na kumbukumbu ya kuuawa shahidi nyota ya tisa ya angani na inayong’aa ya Uimam na Uongozi wa Hadhrat Imam Muhammad Taqi Al-Jawad bin Ali Al-Ridha (AS).

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button
×