Habari

Kukutana Mkuu Wa Buniyad Akhtar Taban Pamoja Na Ayatu Allah Hussein Qaziwini

Sherehe ya kuzaliwa Imam Mahd (aj) na hafla ya kukhitimisha kozi ya kwanza ya kumlea Mubaligh zilifanyika katika Ofisi ya Buniyad Akhtar Taban.
Katika kikao hiki Ayatu Allah Hussein Qaziwini alitoa Khutba kwa Mubalighina kutoka India na pia alikuwa na kikao Makhususi na Mjukuu wa Allamah Rizvi.
Ayatu Allah Qaziwini katika kikao hiki alielezea shughuli za Taasisi ya Waliyul-A’sir (aj) na alitilia mkazo kushirikiana na Lugha nyinginezo.
Katika muendelezo wa kikao hiki Ayatu Allah Qaziwini (Mwenyezi Mungu ampe umri mrefu) alipongeza shughuli za Buniyad Akhtar Taban na alionesha utayari wake kushirikiana na Buniyad Akhtar Taban katika kuweka kozi Maalum.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button
×