BONYAD AKHTAR TABAN

Majlisi ya kuomboleza msiba ya aba abdilah al-Hussein na unuwani ya haiyya alaalaza

kwa kuingia  kumi la kwanza la mwezi  wa muharam  pamoja nakuchukuwa tahadhari ya kuenea  kwa ugonjwa wa corona na kukatazwa mikusanyiko. bonyad Akhtar taban waliamua kuanzisha majlisi ya aba abdillah al-huusein kwa jina la haiyya ala al azaa katika mitandao ya kijamii .
Majilisi hizi zilifanyika kwa lugha za Kingereza ,kiswahili,kiurudu ,kigijirati na  kurushwa katika mitandao  ambazo ni khutba na kaswida za kubainisha fadhila,ubora na mateso ya watu wa nyumba ya mtume .
Na kwa kulingana na udogo wa sehemu  kijiografia Na kuwa na  wasikilizaji tofauti tofauti  majlisi hizi zilifanyika kwa masaa tofauti ya siku na kuwekwa kwenye  chaneli ya YouTube na ambayo ilipendwa na wapienzi wa abba abdillah.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button
×