Habari za BonyadMatukio ya Kiislamu

Furaha Sha’ban

Tunapenda kuchukua fursa hii kuwapongeza Waislamu wote kwa kubarikiwa kuufikia Mwezi Mtukufu wa Shaban Mwezi wa Mtukufu Mtume Muhammad al-Mustafa (saww), na pia tunawapongeza Waislamu wote hasa: Alhujja, Imam wa Zama (a.t.f.s), na Shia wote wanaowapenda, kuwafuata na kushikamana na Watukufu wa Ahlulbayt (as) kwa kuzifikia Sikukuu za Mwezi huu Mtukufu wa Shaban.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button
×