Habari za Bonyad

Ayyatullah Hassan Zadeh Leyle Kuhi atembelea Buniyad Akhtar Taban

Ayyatullah Hassan Zadeh Leyle Kuhi ni moja wa Maustadhi na Walimu wa Hawza ya Qom alipotembelea Buniyad hii alipongeza jitihada na juhudi za Marhem Allamah Rizvi.
Katika kikao hiki kiongozi wa Buniyad Akhtar Taban Hujatul-Islam Sayyid Kadhim Rizvi mjukuu wa Allamah Rizvi alibadilishana mawazo na Ayyatullah Hassan Zadeh Leyle Kuhi.
Na katika muendelezo wa Kikao hiki alioneshwa shughuli za Buniyad Akhtar Taban katika mwaka uliopita na zilimpendeza Sanaa.

Leave a Reply

Back to top button
×