Habari

Nafasi ya Shia Ahlul-Bayt (َAS)

Hadithi ya Hazrat Fatima (SA) (4)

Hazrat Zahra (sa) amesema:

شیعَتُنا مِنْ خِیارِ اءهْلِ الْجَنَّةِ وَكُلُّ مُحِبّینا وَ مَوالى اَوْلیائِنا وَ مُعادى اعْدائِنا وَ الْمُسْلِمُ بِقَلْبِهِ وَ لِسانِهِ لَنا

Mashia (wafuasi wetu), na vilevile wapenzi wa wapenzi wetu, na wale ambao ni maadui wa maadui zetu, na wale wanaonyenyekea kwetu (kwa maana: Wanaotufuata sisi na kushikamana nasi) kwa nyoyo zao na ndimi zao, watakuwa watu bora zaidi Peponi.

Bihar Al-Anwar, Juz. 68, Uk.155.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button
×