Habari
-
Kukutana Kiongozi wa Bonyad Akhtar Taban na Ayatullah Syed Muntadhir Mahdi Rizvi (M.Mungu amhifadhi)
Ayatullah Syed Muntadhir Mahdi Rizvi (M.Mungu amhifadhi) alitembelea na kushiriki katika kikao kilichofanyika katika Ofisi ya Bonyad Akhatar Taban, na…
Read More » -
Kikao cha Futari kikihudhuriwa na mmoja wa Viongozi wa Jamia’tul-Mustwafa katika ofisi ya Bonyad Akhtar Taban
Katika kikao cha Futari kilichoandaliwa na Bonyad Akhtar Taban mgeni rasimi akiwa ni Hujatul-Islam wal Muslimin Rizvi ambae ni Raisi…
Read More » -
Kufanyika Majlis ya maombolezo ya Shahada ya Kiongozi wa Waumini Ali (a.s) ikihudhuriwa na Mashia wa Nchi za Afrika Mashariki
Majlis ya shahada ya mtukufu wa cheo na daraja Imam Ali Ibin Abi Talib (a.s) ilifanyika majlis hiyo ikihudhuriwa na…
Read More » -
Majlis ya maombolezo ya Maulla Al-Muwahhidin ilifanywa na Bonyad Akhtar Taban katika Husseiniyah ya Imam Swadiq (a.s)
Majlis ya kuomboleza shahada ya Maulla Al-Muwahhidin Amir al-Mu’minin Ali (as) iliyohudhuriwa na wafuasi na wapenzi wa kizazi cha Mtume…
Read More » -
Buniyad Akhtar Tabani yaandaa futari katika ofisi yake Futari hiyo ilihudhuriwa na Ayatullah Sayyid Mundhir Hakim na Sheikh Abdul-Muhsin Al-Baqshi Raisi wa hawza ya Alul-Bayty
Wageni rasimi wa kikao hiki walikuwa ni Raisi wa hawza ya Alul-Bayt (a.s) na Ayatullah Sayyid Mundhir Hakim. Wageni wengine…
Read More »