Sheria za Kiislamu, Maadili, na Mienendo ya Kijamii
Kuwa Mwema Kwa Watu
Hadithi ya Hazrat Fatima (SA) (5)
خِيارِكُم أليَنُكُم مَناكِبَهُ و أكرَمُهُم لِنِسائِهِم.
Wabora wenu ni wale ambao ni laini kwa watu na kuwaheshimu wenzi wao zaidi.
Dalai al-Imamah, uk. 76.